waja-schools

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Afariki Dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema amefariki dunia majira ya saa tisa alasiri baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali na watu kilichosababisha mauti yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *