waja-schools

Baadhi ya Miradi ya mwenge yashindwa kuzinduliwa kuttokana na taarifa za Wilaya na Mkoa kutofautiana

Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa Charles Kabeho amekataa kuzindua mradi wa Maji kwa madai ya kuwa na taarifa ya Wilaya inayopishana na ya Mkoa huku mradi wa shamba la matikiti waliloelezwa ni la Mtu binafsi kugundulika ni la Afisa kilimo wa Kata Milomy Kilonzo ukiwa pia na kasoro ya gharama ambapo taarifa ya mkoa ni Shilingi milioni 20 na Wilaya milioni 13.3.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *