waja-schools

Baba wa kambo adaiwa kuua mtoto na kumchoma moto makalioni

Watu wanne wamefariki kwa nyakati tofauti ikiwemo tukio la Mtoto wa Mwaka mmoja na Miezi saba Isaya Bahati kudaiwa kukuwawa na baba yake wa kambo aitwaye Petro Sungwa kwa kukabwa shingoni kisha kumchomo moto katika makalio yake.

Inadaiwa Mama wa mtoto Elizabeth Seleman alikutana na Petro miezi minne iliyopita ambao waliamua kuishi kwa pamoja na kuhamia kijiji cha Nyarubanga baada ya petro kumaliza mkataba wake wa kazi za ulinzi mjini Geita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *