waja-schools

Benki ya Azania na Mfuko wa pensheni PSPF watoa elimu ya mikopo kwa Wastaafu

Tazama jinsi Wastaafu watakavyofaidika na mikopo nafuu kutoka benki ya azania ambayo asilimia ya mkopo ni 1.3 kwa mwezi lengo ni kuwawezesha wazee kujikwamu kiuchumi kwani ukiangalia wazee wengi bado wanategemewa katika majukumu ya kifamilia pamoja na kustaafu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *