waja-schools

Bibi aliyesafiri na bata ashushwa kwenye Basi kisa bata ni nuksi

Cheki abiria aliyepanda na Bata kishushwa kwa imani kwamba Bata ni nuksi na ukisafiri nae mzima mnaweza kupata ajali.

Abiria hao walipanda Basi njiani wakitokea Bwanga kwenda Kijiji cha Kifura Wilayani Kibondo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *