waja-schools

Cheki ukweli wa sakata la Mwanafunzi aliyedaiwa kuwawekea wenzake sumu kwenye chakula

Ujumbe na picha ziliosambaa katika mitandao ya kijamii juu ya mwanafunzi mmoja wa darasa la nne Shule ya Msingi Emaco Vision kuwa ametumwa kuwawekea wenzake sumu kwenye chakula kwa madai amepewa na dada mmoja ili awauwe wanafunzi wanaomsumbua Shuleni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *