waja-schools

Cheki video jinsi Wakazi wa Mtaa wa Nyakabale walivyomkomesha Mwenyekiti wa Mtaa Elias Ndalwa kwa kumuwekea Maiti ndani ya nyumba yake,Mwenyewe achanganyikiwa

Wakazi wa Mtaa wa Nyakabale wameandamana hadi nyumbani kwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyakabale Elias Ndalawa na kumsusia maiti ya Zakaria Shabani ambaye anadaiwa kuuwawa na Polisi Jamii huku wakiwa wamechoma moto baadhi ya maeneo ya kituo cha polisi jamii na kuvunja milango na madirisha na kubomoa baadhi ya maeneo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *