waja-schools

Cheki Walimu walivyosebeneka Usiku wa Mwalimu Mambo ni moto

Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wakutana katika usiku wa mwalimu na kusheherekea kwa pamoja lengo ni kukutana na kuelezea changamoto na mafaniko katika sekta ya elimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *