waja-schools

“Family Day” ya Mgodi wa Bulyanhulu yafana

Kikosi kazi kilichowezesha siku ya familia kufana.

Wageni waalikwa na Wafanyakazi wa Mgodi wa Bulyanhulu wakicheza.

Watoto walionyesha vipaji vyao vya kucheza.

Msanii Mrisho Mpoto akiwa na Watoto wakiimba nyimbo mbalimbali.

Mkuu wa Wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akiimba sambamba na bendi ya Msanii Mrisho Mpoto.

Wageni waliohudhuria siku ya familia wakisakata mziki uliokua unaimbwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu akitembelea Mabanda ya Wajasiriamali ambao walikuwepo katika siku ya familia na kuonyesha bidhaa zao.

Mgodi wa Bulyanhulu umetoa Mabati 64 na Matofali zaidi ya 2900 kusaidia moja ya Shule ya Msingi iliyoezuliwa na paa katika Wilaya ya Nyangh'wale.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *