waja-schools

GGM yafanikiwa kuwainua kiuchumi wakazi wanaozunguka Mgodi huo

Vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Dhahabu wa Geita wamefaidika na mradi mkubwa wakiuchumi ambao umejikita katika kuwasaida kwenye kilimo cha mpunga na alizeti ambapo wakulima wa zao la punga awali walikuwa wakilima heka moja na kupata magunia tisa lakini kwa sasa heka moja wanapata magunia zaidi ya 36.

Mradi huo umegharimu jumla ya shilling bilioni 1.7 lengo ni kuhakikisha wakulima wanazalisha kwa tija ambapo zaidi ya hekari 900 zimelimwa na wananchi wanaofaidika moja kwa moja ni zaidi ya wananchi 4000 wananufaika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *