waja-schools

Halmashauri ya mji wa Geita yaanza kuwachukulia hatua walioshindwa kurejesha mikopo

Halmashauri ya mji wa Geita imeanza kuchukua hatua kwa baadhi ya vikundi vilivuoshindwa kurejesha fedha wakianza na kikundi cha Uwage ambao walikopeshwa zaidi ya Milioni 40 na baadhi ya fedha zikatumika tofauti katika shughuli za uchumbaji wa dhahabu jambo ambalo ni tofauti na makubaliano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *