waja-schools

Halmashauri ya Wilaya ya Geita yatoa mikopo kiasi cha Shilingi Milioni 173.5 kwa Vikundi 26

Halmashauri ya Wilaya ya Geita imekabidhi mikopo kwa Vikundi 26 ambapo kwa Wanawake wamepatiwa kiashi cha Shilingi milioni 90.5 kwa vikundi 16 vya Wanawake vyenye wanachama 397.

Kwa upande wa Vijana vikundi 10 vimepatiwa milioni 83 kukiwa na wanachama 192 na vikundi vyote vikiwa vinajihusisha na shughuli mbalimbali kama ufugaji kuku,kilimo,ushonaji viatu,ufyatuaji matofali,mashine za kusaga na kukoboa na kadhalika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *