waja-schools

Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru Charles Kabeho awataka Wakulima kujua soko la uhakika kwa zao la pamba lipo na wajikite kulima kwa wingi

Wakulima wa Zao la Pamba Wilayani Geita wametakiwa kutambua kuwa Serikali inawaunga mkono kwa kuandaa mazingira bora ya uendeshaji wa zao hilo na masoko yake ambapo Serikali imeweka mikakati ya zao hilo kununuliwa na kuuzwa kwa Vyama via Ushirika hivyo kila aliyelima Pamba atakua na uhakika wa soko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *