waja-schools

Kitchen Party ya Dayness Mpanju

Kitchen Party ya Dayness Mpanju uliyofanyika Mjini Katoro.

Dayness Mpanju katika pozi

Dayness akiwa na Mama yake Mlezi Hapiness

Dayness akijimwaya kwa kucheza kwa furaha wakati akiingia ukumbini

Dayness akikata utepe tayari kwa kuanza sherehe

Kamati imetoa zawadi kwa Dayness ya shilingi laki saba

Karibu Farbess kwa huduma nzuri na bora na ghara ni nafuu 0756 188 188 au 0622 606 033

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *