waja-schools

Ligi daraja la tatu Mkoa yaanza bila ya wadhamini

Ligi daraja la tatu Mkoani Geita imenza na changamoto kubwa ya kukosa wadhamini ilihali bado kuna uhaba mkubwa wa vifaa vya michezo pamoja na zawadi kwa washindi.

Wakizungumza viongozi wa Chama cha mpiga wa Miguu GEREFA wamesema malengo yao katika ligi hii ni kutoa zawadi ya nishani ya dhahabu,fedha na shaba kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu lakini kama hakutakua na wadhamini malengo yao hayatafanikiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *