waja-schools

Mabingwa wa Mkoa wa Geita Buseresere FC yagalagazwa na Yanga

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Geita Salum Kulunge akisalimiana na wachezaji wa timu ya Buseresere na Yanga kabla ya kuanza mchezo wa kirafiki.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa geita Leonard Bugomola ambaye ni mdau mkubwa wa soka akisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga na Buseresere.

Katika mchezo huu timu ya Yanga imeibuka kidedea dhidi ya Buseresere FC baada ya kutandikwa mabao matano.

Goli la kwanza lilifungwa na chezaji deus Kaseke dk ya 45 kipindi cha kwanza,goli la pili na la tatu  lilifungwa na Emmanuel  Martin dk 45 kipindi cha pili,goli la nne lilifungwa na Matheo Antony  dk 88 la na la tano limefungwa dk 90 na hamis Tambwe.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *