waja-schools

Mbunge wa Geita Mjini Mh.Kanyasu alipuka kuhusu Wabunge wa Kusini ahofu mgawanyiko

Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu ameingiwa na hofu kutokea kwa mgawanyiko wa Watanzania unaosababihswa na baadhi ya Wabunge wa Mikoa ya kusini unaotokana na kupinga uamuzi wa kuchukua ushuru wote wa Korosho inayouzwa nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *