waja-schools

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Vicky Kamata awawezesha Wanawake Wajane

Imeelezwa kwamba changamoto kubwa wanayoipigia kelele wajane wengi Mkoani Geita ni uchumi kuporomoka pindi wakiondokewa na wenza wao na kudhulumiwa mali walizochuma na wenza wao.

Mjane amekuwa mtu wa kuonewa na kuumizwa katika jamii huku wengi wakinyanyasika kijinsia pamoja na kuathiriwa kabisa kisaikolojia, na hata wengine kupoteza maisha muda mfupi baada ya kufiwa na mume wake kutokana na mkandamizo na msongo wa mawazo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *