waja-schools

Mdau wa Michezo Ally Twist akabidhi vifaa vyenye thamani ya milioni 1.2 kwa timu ya Gipco na Halmashauri ya Mji wa Geita

Mdau wa michezo Mjini Geita Ally Twist amekabidhi vifaa mbalimbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi Milioni moja na laki mbili kwa timu ya Gipco na Halmashauri ya Mji wa Geita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *