waja-schools

Mfumo dume bado wawaathiri Wanawake Vijijini

Imeelezwa kuwa mfumo dume na elimu duni ya masuala ya kijamii maeneo ya vijijini hapa nchini ndizo sababu zinazochochea vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake kuendelea kushamiri ikilinganishwa na maeneo ya mijini.

Suala la kutokuwa na uwiano sawa katika kupata,kutumia na kumiliki mali imekua ni changamoto kubwa na ni chanzo cha matatizo mengi ambayo yanazidi kuwafanya wanawake kuonekana ni viumbe visivyo na thamani kwa jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *