waja-schools

Michezo iliyoandaliwa na CWT Mkoani Geita yawavutia Walimu

Baadhi ya Walimu wa michezo wamesema hali ya kimichezo Shuleni imezorota sivyo kama ilivyokua zamani na ratiba inabana sana hazitoi fursa katika michezo huku baadhi ya walimu wakijitahidi walau kufanya michezo nyakati za joint ili kusaidia wanafunzi kuipenda michezo na kuibua vipaji.

Wameyasema hayo katika michezo ya Walimu Mkoa wa Geita yaliyoandaliwa na Chama cha Walimu Mkoa wakiwa na lengo la kuwasogeza walimu kwa karibu na kushirikiana katika nyanja za kimasomo na kupeana mbinu za kimichezo katika kuendeleza michezo shuleni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *