waja-schools

Migodi yenye migogoro kufungwa

Wachimbaji Wadogo Wilayani Geita wamemlalamika kwa Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo juu ya madai ya Vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Wamiliki wa Leseni katika baadhi ya migodi kwa kuwatoza asilimia kubwa ya mchanga wa dhahabu unaopatikana ambapo kati ya mifuko 100 wanachukua 40 lakini pia wanapochimba na kuifikia dhahabu wanafukuzwa na kuletwa watu wengine kufanya kazi iyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *