waja-schools

Mkoa wa Geita kujenga zahanati 268 ambazo zitakamilika Disemba 2018

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akijumuika na Wakazi wa Bugalama na Mtakuja kuzindua kampeni ya Ujenzi wa Zahanati kila Kijiji.

Kampeni ambayo imepokelewa na Wananchi na kujitoa kwa dhati katika kuhakikisha kampeni hii inafanikiwa.

Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi akichimba msingi wa Zahanati katika Kijiji cha Bugalama.

Wananchi wakiendelea na kazi ya Ujenzi wa Zahanati

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi wakizungumza na Wakazi wa Bugalama waliojitokeza kujenga Zahanati.

Mkuu wa Mkoa Mhandisi Robert Gabriel amesema ifikapo Disemba 2018 jumla ya Zahanati 268 zitakuwa zimejengwa na hii itaondao adha wanayoipata Wananchi kutembea mwendo mrefu kufata huduma na hii inahatarisha zaidi kwa Wakinamama Wajawazito na Watoto.

Ujenzi ukiendelea

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita(aliyevaa kofia) akizungumza na Wakazi wa Mtakuja.

 

Dk Gloria Endrew.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *