waja-schools

Mkoa wa Geita Washika nafasi ya pili kwa utoro wa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa kassim Majaliwa amezindua mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mkoani Geita huku ambapo kwa mwaka huu ujumbe ukiwa umejikita katika elimu ambapo amesema bado aula la toro ni tatizo huku Mkoa unaoongoza kwa utoro shule ya Sekondari ni Tabora asilimia 9.7 na Msingi ni mkoa wa Rukwa asilimia 3.2.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *