waja-schools

Mkoa wa Geita washindwa kutekeleza miradi ya maji pamoja na kupewa Bilioni 19.8 na Serikali

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe amesema Mkoa wa Geita umeshindwa kutekeleza miradi ya Maji pamoja na Serikali kuutengea Mkoa huo kiasi cha Shilingi bilioni 19.8 na badala yake imetumika bilioni 4.8 sawa na asilimia 21 na jambo la kushangaza miradi hiyo haijakamilika hadi sasa kwa kushindwa kusimamiwa vizuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *