waja-schools

Mkoa wa Geita wawashtukia Wakandarasi wanaounda vikundi kwa maslahi yao

Baada ya Serikali kutumia mfumo usiotumia Kandarasi(Forced Account) baadhi ya wakandarasi wameibua vikundi na kuvitumia kwa lengo la kupata fedha kinyume na utaratibu iliowekwa na serikali huku vikundi hivyo vikiwa na bei ya juu ukilinganisha na vikundi halali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *