waja-schools

Mkoa wa Geita wazindua chanjo ya HPV

Mkoa wa Geita umezindua Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wanaotimiza miaka 14 ambapo jumla ya Wasichana wasiopungua 34,039 wanatarajiwa kuchanjwa huku jamii imetakiwa kuondoa dhana kuwa chanjo hiyo inasababisha ugumbu kwa Wasichana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *