waja-schools

Mtendaji asimamishwa kazi

Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Nyakabale Deus Zabron amesimamishwa kazi baada ya kushindwa kuwasaidia wananchi anaowaongoza na hata kufikia wananchi kujaza fomu feki ambazo alizisimamia zikiwa na lengo la kuwadhulumu wakazi hao ambao wanadai kuchukuliwa eneo lao bila ya ridhaa yao huku wakituhumiwa kuishi ndani ya leseni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita.

Wakizungumza malalamiko yao wamesema mtendaji huyo hana msaada wa kutatua changamoto zao huku viongozi mbalimbali waliopita wameshindwa kuwasiaida na hivyo hawana imani na serikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *