waja-schools

Mvua yaleta maafa watu saba wafa Mkoani Geita

Mvua zinazoendelea kunyesha Maeneo mbalimbali Mkoani Geita zimeendelea kuleta maafa ambapo Watu saba katika Wilaya ya Nyanghwale na mjini Geita wamekufa baada ya kusombwa na mafuriko na kati yao mmoja amefariki baada ya kuangukiwa na nyumba wakati mvua ikinyesha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *