waja-schools

Mwanamke auwawa kwa kukatwa mapanga Wilayani Bukombe

Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Roda Samuel Mkazi wa Kjiji cha Namarandula ameuwawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa mapanga huku mumuwe Maziku Mageleja akijeruhiwa maeneo ya shingoni baada ya watu wawili waliofika nyumbani kwa marehemu na kuomba maji ya kunywa kwa madai ni wafugaji walikua wametoka porini kwa shughuli za ufugaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *