waja-schools

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi,teknolojia na Ufundi William Ole Nasha atoa neno katika Mahafali ya Shule za Sekondari za Waja juu ya mikopo kwa Wanafunzi wanaosoma shule za binafsi

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi,teknolojia na Ufundi William Ole Nasha amesema Mwaka wa fedha unaoanza July Bodi ya mikopo imetengewa kiasi cha Shilingi bilioni 427 zitakazoidia Wanafunzi waliokidhi vigezo na haijalishi kama anasoma Shule binafsi au laa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *