waja-schools

Naibu Waziri wa madini Doto Biteko asema chanzo cha Migogoro ya wachimbaji ni kutofuata mikataba

Kutokufuatwa kwa Sheria ya Mkataba ya mwaka 2002 katika Sekta ya Madini imekua chanzo cha migogoro baina ya Wachimbaji na wamiliki wa leseni kwani wengi wao hufanya kazi kwa makubaliano ya mdomo hali inayochangia migogoro pindi dhahabu inapopatikana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *