waja-schools

Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko awataka Wachimbaji kufuata taratibu na sheria za Madini

.

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akiwaeleza wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Bululu, kilichopo katika Kata ya Nyamtukuza Wilaya ya Nyang'hwale Mkoani Geita juu ya umuhimu wa kufuata taratibu na sheria katika uchimbaji.

Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Bululu, kilichopo katika Kata ya Nyamtukuza wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko wakati akiwa katika ziara ya kikazi Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita.

Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale Mhe Hussein Nassor Amari Kasu  akizungumza na kuelezea kero ambazo wamekuwa wakizipata wachimbaji wadogo za kuondolewa kila mala kwenye maeneo ambayo wanayazindua.

Mkuu wa wilaya ya Nyang'hwale Hamim Gweyama akiwaeleza wachimbaji kufuata taratibu na sheria ambazo zimewekwa kwenye maeneo ya uchimbaji madini.

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akiwaeleza wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Bululu, kilichopo katika Kata ya Nyamtukuza Wilaya ya Nyang'hwale Mkoani Geita juu ya umuhimu wa kufuata taratibu na sheria katika uchimbaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *