waja-schools

Picha Mbalimbali Ufunguzi wa Ofisi ya LAPF Mkoani Geita

 

 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Josephat Kandege akiwasili katika Ofisi ya LPF Mjini Geita

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Josephat Kandege akifungua Rasmi Ofisa ya LAPF Kanda ya Magharibi

Wasanii nao waliburudisha latika uzinduzi wa Ofisi

Mwanachama wa LAPF  ambaye amenufaika na fao la uzazi na kupatiwa kiasi cha zaidi ya Shilingi Laki sita

Philip Ngika ni Mstaafu aliyestaafu hivi karibuni na kupatiwa mafao yake kiasi cha zaidi ya Milioni 72

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Josephat Kandege akikabidhi Madawati 100 yaliyotolewa na Mfuko wa LAPF 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Josephat Kandege akizungumza na Wanafunzi na kuwataka kusoma kwa bidii ili waje kufaulu masomo yao pindi watakapofika Darasa la Saba 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *