waja-schools

Picha: Ubovu wa Barabara wasababisha baadhi ya Magari katika Msafara wa Mwenge kusukumwa katapila

 

Msafara wa magari ya mbio za Mwenge wa uhuru ukiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya nyangh'hwale ulikumbana na adha ya ubovu wa barabara na kulazimika kusukumwa na katapila.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *