waja-schools

Shirika la AMREF Health Tanzania yakabidhi Baiskeli 434 kwa wahudumu wa Afya

Shirika la AMREF Health Tanzania limekabidhi Baiskeli 434 kwa wahudumu wa Afya ya Wilaya ya Nyang’hwale na Geita zenye thamani ya milioni 90 lengo kubwa ni kusaidia juhudi za Serikali kupunguza vifo vya Mama Wajawazito na Watoto chini ya miaka mitano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *