waja-schools

Shirika la Nelico lawataka wadau kusaidiana na Serikali kutatua changamoto zinazowakabili Wanafunzi wenye Ulemavu

Wakati Halmashauri ya Mji wa Geita kupitia idara ya Elimu Msingi imetenga bajeti ya mwaka 2018/19 kiasi cha zaidi ya Shilingi milioni 133 katika kusaidia kuboresha miundo mbinu kuwa rafiki katika shule za Wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Shirika lisilo la Serikali NELICO limewataka wadau kushirikana na Serikali katika kuhakikisha wanasiaidiana kutatua kero zinazowakabili Wanafunzi wenye ulemavu kama uhaba wa walimu,Vifaa vya kujifunza na mabweni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *