waja-schools

Takukuru Mkoani Geita yachunguza miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya bilioni 60

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita kwa kipindi cha Julai 2017 hadi April 2018 imepokea jumla ya taarifa 323 za rushwa na makosa mengine.

Taarifa hizo zinahusisha sekta zifuatazo :-

Serikali za Mitaa 74,Ardhi 29,Ujenzi 28,Afya 21,Polisi 19,Siasa 18,Mahakama 14,Fedha 12,Mifugo 11,Misitu 8,Huduma za Jamii 8,Kilimo 7,Biashara 06,Uvuvi 5,Mawasiliano 4,Maji 3,Utalii 2 na Nishati 1.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *