waja-schools

Timu ya Geita Gold Sports Club yagalagazwa na Simba bao 7 kwa sifuri

Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sports Club na Geita Gold Sports Club umechezwa katika viwanja vya shule ya Msingi ya Waja ambapo timu ya Geita imepigwa bao saba kwa bila.

Wadau wa michezo wamesema kuwa timu ya Geita ilikua na haki ya kufugwa kwa ajili ya kukosa mazoezi ya muda mrefu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *