waja-schools

Ujenzi wa Shule mpya Mkoani Geita utatatua kero mbalimbali na kuleta tija kwenye sekta ya Elimu

 

 

Wananchi wa Chato wamechangia mifuko ya saruji zaidi ya 200,Matofali 800 na fedha taslim 1,820,000.

Wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kushirikiana na Serikali wameamua kwa dhati kutatua kero kwenye sekta ya elimu ili kuhakikisha Wanafunzi na Walimu wanakuwa katika mazingira rafiki na hii itasiaida hata ufaulu katika Shule za Serikali.

Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ambayo itakua ya pili katika kata ya Buseresere iliyopo kijiji cha Muranda Wilayani Chato.

Wananchi wakiendelea na kazi.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaaban Ntarambe alipowasili akkatika kijiji cha Muranda kwa lengo la kusaidiana na Wananchi kujenga Shule.

Diwani wa Kata ya Buseresere Godfrey Miti akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika ujenzi wa Shule

Wadau mbalimbali wa Maendeleo na Wananchi wakifanya harambee ili kuchangia ujenzi wa Shule.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akikabidhi mifuko ya saruji kwa mtendaji wa kijiji cha Muranda.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *