waja-schools

Uwanja wa mpira wa Kimataifa kujengwa Mkoani Geita

 

Makamu Rais wa TFF Michael Wambura akiwa na Viongozi wa Mkoa wa Geita pamoja na Wadau wa Soka.

Viongozi wa Mkoa wakiwasili eneo Magogo Mjini Geita abapo kutajengwa Uwanja wa kisasa.

Mkuu  wa Mkoa akitoa maelezo juu ya Uwanja huo.

Eneo lina hekari 26 na muda si mrefu ujenzi utaanza.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akipokea mbegu ya majani aina ya Bamuda kutoka kwa Makamu Rais wa TFF Michael Wambura maalum kupanda katika Uwanja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *