waja-schools

Vipaji vya Wanafunzi wa Shule ya WAJA vyamstaajabisha DC,sasa kuweka mikakati thabiti

Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi sasa kuvalia njuga suala la michezo katika Wilaya ya Geita na kutaka kila shule iandike changamoto walizonazo ili kuboresha michezo ambayo imeonekana kwa kiwango kikubwa inasaidia mahudhurio kuongezeka shuleni na maendeleo ya wanafunzi kiakili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *