waja-schools

Wafanyabiashara walioshirikiana na Watendaji wa Serikali na kukwepa kulipa mapato katika Sekta ya Uvuvi wajiandae

Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanza tathmini ya miaka mitano kuanzia mwaka 2017 kurudi nyuma ili kubaini imepunjwa kiasi gani kulingana na ubadhirifu wa ukwepaji wa mapato uliofanywa na baadhi ya Wafanyabiashara wa Mazao ya Samaki na Watendaji wa Serikali ambapo watafatiliwa hesabu zao zote na ikibainika kuna udanganyifu hatua zitachukuliwa kwa kuipa hasara Serikali.

Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina alipotembelea Soko la Kasenda Wilayani Chato Mkoani Geita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *