waja-schools

Wafugaji wa Nyuki Bukombe wawekewa mikakati ya kuboresha zao la Asali

 

Wadau,Watumishi wa Halmashauri na Baadhi ya Watumishi kutoka Wizara ya Kilimo walipomtembelea mjasiriamali anayefuga Nyuki na kuuza asali katika Wilaya ya Bukombe.

Mzinga wa Nyuki

Baadhi ya madumu ya Asali ambayo tayari yameshachujwa .

Asali ambayo imeshawekwa katika Chupa na kuwekea nembo ya Wajasiriamali kama zinavyoonekana

 

Froza Shayo ni Afisa Nyuki Wilaya ya Bukombe amesema kwa sasa wameanzisha eneo maalum ambayo Asali za Wafugaji Nyuki zitakusanywa eneo moja hali itakayosaidia kudhibiti ubora unaofanana na unaostahili kwa Masoko ya ndani na Nje.

Wadau wakionja Asali 

Wilaya ya bukombe asilimi 60 ni misitu kuna vikundi 21 vya ufugaji wa nyuki kwa mwaka vinazalisha tani 300 hadi 700 kwa mwaka.

 

July Mwaka huu wameshasafirisha tani 300 na na wanakadiria kupata tena tani 700 za Asali na tani 500 za Nta.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *