waja-schools

Wakulima walilia Bwawa lao

Wakulima wa Kijiji cha Nyisanzi Wilayani Chato wamemuomba Mbunge wa jimbo hilo Dk Medard Kalemani kuingilia kati kujua mradi wa DASIP na Mfuko wa Maendeleo ya umwagiliaji umeishia wapi ambao ulianza mwaka 2013 ukiwa umetumia gharama zaidi ya milini 881 na lengo lilikua ni kuwawezesha wakulima kutumia kilimo cha umwagiliaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *