waja-schools

Wanafunzi watoro kuchapwa viboko na wazazi wao kuburuzwa Mahakamani

Serikali mkoani Geita imetoa muda wa siku saba kwa wazazi ambao
wanafunzi wao wamekuwa watoro kuwarudisha shuleni na baada ya siku
hizo kupita wazazi watakamatwa na kuburuzwa mahakamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *