waja-schools

Wananchi Waandamana Kisa,Nesi Adaiwa Kusababisha Kifo cha Mama Mjamzito

Wananchi wa Kijiji cha Nyarugusu Wilayani Geita wameandamana hadi katika Zahanati ya Kijijini hapo baada ya madai ya Nesi kuhusika kusababisha kifo cha mama mjamzito aliyekosa huduma kwa uzembe wa nesi wa zamu.

Inadaiwa novemba 18 Marehemu Kabula George alifikishwa katika Zahanati ya Nyarugusu ambapo alipokelewa na Nesi wa Zamu majira ya saa tano usiku ambaye alimhudumia na kumwambia asubiri baada ya saa nne na nesi huyo aliondoka na kwenda kulala ambapo Kabula alizidiwa na Uchungubila msaada na hatimaye kufariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *