waja-schools

Wananchi wafunga Barabara kumzuia muwekezaji

Wakazi wa Kijiji cha Ziwani Kata ya Nyarugusu Wilayani Geita wamefunga barabara ambayo Mgodi wa nyarugusu inaitumia na kuweka kambi eneo hilo kwa zaidi ya wiki moja na kuhakikisha hakuna gari la mgodi huo linapita baada ya mmiliki kukataa kuwalipa fidia ya shilingi milioni 202.7 iliyosababisha na Bwawa linalohifadhi la sumu mgodini kuvuja na kusambaa katika mashamba ya Wananchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *