waja-schools

Wanaume waliowachimbisha Kaburi Wanawake wakimbia miji yao wengine waomba msamaha

Wanaume wa Mtaa wa Bwihegule Kata ya Mtakuja ambao hivi karibuni waliwapa adhabu Wanawake ya kuchimba Kaburi kwa madai ya kuhusika kuwaua wanaume hatimaye wameomba msamaha kwa Serikali huku baadhi yao wakikimbia miji yao kwa hofu ya kukamwatwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *