waja-schools

Wanne Wakamatwa Kwa Tuhuma za Kumshambulia Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita

Mawazo Salma Mrisho Geita 15 11 15 PRES/VT Jeshi la Polisi Mkoani Geita linawashikilia watu wanne wanaodaiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo.

Tukio la Marehemu Mawazo limetokea November 14 majira ya saa sita mchana ambapo alivamiwa na kundi la watu na kuanza kumshambulia kwa silaha za jadi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *